ADHA YA MSONGOMANO WA MAGARI KUPUNGUA BAADA YA KUFUNGULIWA KWA BARABARA YA MWERE KUFUTIA KUMALIZIKA KWA UJENZI WA DARAJA KATIKA MTO MOROGORO.
Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Patt Interpline wakiweka lami katika barabara ya kata ya Kingo Manispaa ya Morogoro mara baada ya kumalizika kwa ujenzi wa daraja jipya la Mwere lililopo katika mto Morogoro ambalo limeghalimu kiasi cha sh1.6Milioni na litasaidia kupunguza adha ya msongomano wa magari katika barabara ya Old Dar es Salaam yanayoelekea maeneo ya Bigwa mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment