RAIS KIKWETE AMWAPISHA NAIBU KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO IKULU.
Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana, Longinus Rutasitara akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam marchi 15 wa (pili kushoto anayeshuhudia) ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue na (wa tatu kushoto) ni Karani wa Baraza la Mawaziri, Bwana Gerson Mdemu, Picha na Freddy Maro.
0 comments:
Post a Comment