MAANDALIZI YA MAFUTA YA MAWESE MALINYI.
MKAZI WA KITONGOJI CHA KAMBYARO KIJIJI CHA LUGALA TARAFA YA MALINYI WILAYA YA ULANGA MKOANI MOROGOROVELENTINE KYELULA AKITOA MATUNDA YA MCHIKICHI MARA BAADA YA KUKATA TAWI LENYE MATUNDA HAYO KWA AJILI YA ,MAANDALI YA AWALI KABLA YA KUYAPIKA ILI AWEZE KUPATA MAFUTA MAALUFU KAMA MAWEZE AMBAYO HUTUMIA KWA MATUMIZI YA NYUMBA NA MENGINE KUYAUZA KIASI CHA SH 2000 HADI 3000 KIJIJINI HAPO.
0 comments:
Post a Comment