SHAMRASHAMRA ZA KUKABIDHIWA JIMBO JIPYA LA IFAKARA.
MHASHAMU ASKOFU SALUTARIA LIBENA WA KANISA LA ROMA AKIWAPUNGIA WANANCHI WA MJI MDOGO WA IFAKARA NA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA ARDHI YA JIMBO JIPYA LA IFAKARA WAKATI AKIELELKEA KATIKA KANISA KUU LA ST ANDREW KWA AJILI YA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA JIMBO HILO MACHI 19 MJINI IFAKARA.
JENGO LA KANISA KUU LA ST ANDRWE JIMBO KUU LA IFAKARA LIKIONEKANA KWA MBELE.
MHASHAMU ASKOFU SALUTARIAS LIBENA AKIENDESHA IBADA FUPI MARA BAADA WA KUWASILI VIWANJA VYA KANISA LA ST ANDREW JIMBO KUU IFAKARA KULIA NI MHASHAMU ASKOFU AGAPIT NDOROBO WA JIMBO KUU LA MAHENGE.
WAUMINI WAKIWA NJE YA KANISA KUU LA ST ANDREW JIMBO KUU LA IFAKARA
BAADHI YA VIONGOZI WAKUU WA DINI YA KIKRISTO WAKIMSUBIRI KUMPOKEA
0 comments:
Post a Comment