Mmoja wa waathirika wa bomoabomoa iliyotokea Februari 16, mwaka huu katika kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri tarafa ya Magore, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, Fatuma Mohamed akijaribu kutafakari huku akiwa amejishika tama baada ya nyumba yake kuvunjwa na tigatinga kwa amri ya mahakama. Mume wa mama huyu alifariki dunia mwaka 2007 na kumuacha na watoto wawili, Emmy na Vivian Anthony.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Mmoja wa waathirika wa bomoabomoa iliyotokea Februari 16, mwaka huu katika kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri tarafa ya Magore, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, Fatuma Mohamed akijaribu kutafakari huku akiwa amejishika tama baada ya nyumba yake kuvunjwa na tigatinga kwa amri ya mahakama. Mume wa mama huyu alifariki dunia mwaka 2007 na kumuacha na watoto wawili, Emmy na Vivian Anthony.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment