Moja kati ya mahema yaliyofungwa katika kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kwa ajili ya kuwasitili watu waliovunjiwa nyumba zao na tingatinga kwa amri ya mahakama ya ardhi mkoa wa Morogoro. Zaidi ya nyumba 50 zilivunjwa katika sakata hilo na kusababisha watu zaidi ya 160 kukosa makazi

0 comments:
Post a Comment