BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANAJESHI JWTZ KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA RAIA WATANO MORO.

 ASKARI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA KOPLO PAUL LAWLENT (KATIKATI) AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI WA ASKARI KANZU WAKATI AKIWASILI KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO KUSIKILIZA SHTAKA LA KUUAJI RAIA WATANO KATIKA KIJIJI CHA KIWALE KITONGOJI CHA LEBEMENDE ENEO LA MAGUBA TARAFA YA MALINYI WILAYA YA ULANGA MKOANI MOROGORO MACHI 17 WAKATI KIKOSI CHA OPERESHENI CHA WILAYA HIYO YA ULANGA KIKIFANYA KAZI KATIKA HIFDHI YA KILOMBERO GAME CONTROL NA KITALU CHA UWINDAJI CHA MWEKEZAJI KAMPUNI YA SHALOM ENEO LA MALINYI.
HAPA ASKARI HUYO AKIWA NA MAKARATASI YENYE MAELEZO YA MASHTAKA YAKE AMBAYO ANATUHUMIWA NAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO MUDA MFUPI KABLA YA KUSOMEWA MASHTAKA MATANO YA MAUAJI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: