CHUNGA SIKUKUU YA PASKA KWANI FUJO NOMA HAYA TWENDE KITUONI !!!!
ASKARI KANZU WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO AKIMPANDISHA KIJANA ANAYEDAIWA KUFANYA FUJO MOJA YA BAR KATIKA ENEO LA SABASABA MANISPAA YA MOROGORO WAKATI WAKIMPELEKA KITUO KIKUU CHA POLISI CHA KATI MKOANI HAPA.
HAPA KIJANA HUYO AKIWA AMEDHIBITIWA NA ASKARI HUYO BAADA YA KUTIWA NGUVUNI KUFUATIA FUJO ZINAZODAIWA KUFANYWA NA KIJANA HUYO KABLA YA RAIA WEMA KUPIGA SIMU POLISI KISHA KUKAMATWA.
AKIWA NDANI YA GARI LA POLISI AMBAPO ALIPELEKWA KITUO KIKUU CHA KATI KILICHOPO MTAA WA KIPE ROAD MKOANI MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment