ASKARI WA JESHI LA POLISI BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO YA CHUO CHA POLISI CCP MOSHI.
ASKARI WAPYA WA MKOA WA MOROGORO WAKIPAKIA MIZIGO YAO KWENYE GARI LA JESHI HILO KATIKA ENEO LA KITUO KIKUU CHA POLISI MKOANI HAPA KWA AJILI YA KUANZA SAFARI YA KUELEKEA KATIKA VITUO VIPYA VYA KAZI WILAYANI MARA BAADA YA KUPANGIWA KUFUATIA KUMALIZA MAFUNZO KATIKA CHUO CHA POLISI CCP MKOANI MOSHI HIVI KARIBUNI.
0 comments:
Post a Comment