IBADA YA IJUMAA KUU KITAIFA MOROGORO.
Muumini wa dini ya kikristo Manispaa ya Morogoro akibusu msalaba wakati wa ibada ya ijumaa kuu iliyofanyika kitaifa katika kanisa kuu katoliki la mtakatifu Patrick jimbo kuu la Morogoro ambapo ibada hiyo iliongozwa na Mhashamu askofu Telesphor Mkude wa jimbo kuu la Morogoro mkoani hapa.
Waumini wa dini ya kikristo Manispaa ya Morogoro kutoka kushoto ni Mwenyekiti msaatafu wa Moro Press Club Boninveture Mtalimbo, Mratibu wa Miradi Moro Press Club, Thadei Hafihwa na mwandishi wa Habari Leo, Agnes Haule wakiwa katika ibada ya ijumaa kuu iliyofanyika kitaifa katika kanisa kuu katoliki la mtakatifu Patrick jimbo kuu la Morogoro.
Baddhi ya waumini wa dini ya kikristo Manispaa ya Morogoro wakiwa nje ya kanisa kuu la mtakatifu Patrick jimbo kuu la Morogoro wakiwa katika ibada ya ijumaa kuu.
0 comments:
Post a Comment