PASAKA ILIVYOSHEREHEKEWA KITAIFA MKOA WA MOROGORO.
Askofu wa kanisa la anglikana Doyasisi ya Morogoro, Godfrey Sehaba akitoa baraka watoto waliohudhuria ibada ya kitaifa ya pasaka iliyofanyika katika kanisa kuu la Anglikana Morogoro, wa kwanza kushoto ni Askofu mstaafu wa kanisa la anglikana Doyasisi ya Morogoro, Dadili Mageni mara baada ya kumalizika kwa ibada hiyo.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristi Tanzania Mchungaji Dkt, Leonard Mtaita kulia akizungumza wakati wa ibada hiyo kushoto ni Askofu wa kanisa la anglikana Doyasisi ya Morogoro, Godfrey Sehaba kulia.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristi Tanzania Mchungaji Dkt, Leonard Mtaita kushoto na waumini wa kigeni kutoka Ujerumani, Ann-Kathrin Weber na Veronicka Malke kulia wakifuatilia ibada katika sikukuu ya kufufuka kwa yesu kristo baada ya kuuawa na kuzika katika tukio la kihistoria lililotokea miaka 2000 iliyopita.
Askofu wa kanisa la anglikana Doyasisi ya Morogoro Godfrey Sehaba akiongea na waumini wa dini ya kikiristo katika ibada ya kitaifa ya pasaka
Waumini wakiwa katika ibada.
hapa wakiimba nyimbo wakati wa ibada hiyo.
0 comments:
Post a Comment