BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIFO CHA MSANII MAARUFU WA FILAMU TZ, STEVEN CHARLES KANUMBA CHALETA MAJONZI


KIFO CHA MSANII MAARUFU WA FILAMU NCHINI, STENEV CHERLES KANUMBA KIMEPOKEWA KWA MAJONZI NA WATANZANIA MARA BAADA YA KUTOKEA TAARIFA ZA KIFO HICHO NA KUSAMBAA KILA KONA YA TANZANIA KILICHOTOKEA USIKU WA KUMKIA LEO APRIL 07, 2012 KUFUATIA KUANGUKA HAFLA NYUMBANI KWAKE SINZA VATICAN JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA.

BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA) LIMEPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA KANUMBA KWA MASIKITIKO NA MAJONZI MAKUBWA KWA KUONDOKEWA NA MWANACHAMA WAKE KATIKA TASNIA YA FILAMU LIMEKUWA PENGO SANJALI
NA SEKTA YA SANAA NCHINI PAMOJA NA FAMILIA.

AIDHA BASATA INATOA POLE KWA WANAFAMILIA NA WASAANI NCHINI HASA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUOMBOLEWA MSIBA HUO NA WATANZANIA KIUJUMLA KUTOKANA NA JUHUSI ZAKE ZA KUTANGAZA KUINUA VIPAJI VICHANGA VYA TASNIA YA FILAMU NCHINI IKIWEMO KUTANGAZA TASNIA HIYO NJE YA MIPAKA YA NCHI.

MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.




Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: