Mkuu wa chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ) Saidi Dogoli kushoto akisoma lisara muda mfupi kabla ya kumpisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mkajanga Kajubi Mkajanga kuwatunuku vyeti kwa wahihitimu wa kozi za uandishi wan habari ngazi ya cheti na stashaha na walimu wa shule za awali katika mahafali ya 15 ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye ukumbi wa JKT viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya wakulima kanda ya mashariki Nane Nane uwanja wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro. kulia ni Mwenyekiti wa Morogoro Press Club, Aziz Msuya.
Wahitimu wa kozi ya uandishi wa habari katika ngazi ya cheti na
stashahada katika chuo cha Morogoro (MSJ) wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa
mahafali ya 15 ya chuo hicho yaliyofanyika ukumbi wa banda la JKT viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya wakulima kanda ya mashariki Nane Nane uwanja wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro
Hapa wakiingia ukimbini kwa maandamano.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment