Mr Frank
John (23) it treated at the Morogoro Regional Hospital after a cover of an oil
storage tank tjat he and his colleague were repairing shut them under-group
missing air.
Jopo la Madaktari na manesi wakimkimbiza Frank John katika chumba wa wagonjwa mahututi wenye uangalizi (ICU) kwa matibabu zaidi baada ya kupatiwa huduma ya kwanza katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Wasamalia wema katika Manispaa ya Morogoro
wakimchomoa kijana Frank John (23) kutoka ndani ya kisima cha mafuta (GAPCO) baada ya mfuniko wa kisima hicho kujifunga na kukosa hewa wakati yeye na mwenzake wakifanya kazi ya kusafisha kisima hicho kabla ya kukimbizwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa
Wamalia wema wakimpakia katika gari kwa ajili ya kukimbizwa hospitalini.
Frank akitelemshwa ndani ya gari ya polisi katika hospitali ya mkoa huo.
Kijana Michael Mourice (28) akiwa katika hopsitali ya mkoa wa Morogoro baada ya kupata huduma ya kwanza katika tukio hilo.







0 comments:
Post a Comment