BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NHIF Lindi Watoa Msaada Wa Vitabu

PICHANI NI AFISA MAENDELEO YA JAMII WA MKOA WA LINDI BI ANNA MARO AKIPOKEA MSAADA WA VITABU 5O,VYA MASWALI NA MAJIBU YA NAMNA YA MTINDO BORA WA MAISHA NA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZWA ILI VITUMIKE KUTOA ELIMU KWA VIONGOZI WA MKOA NA WANANCHI NAMNA YA KULINDA AFYA ZAO ,ANAYEKABIDHI NI BI FORTUNATA RAYMOND AFISA MWANDAMIZI WA NHIF OFISI YA LINDI
.BAADA YA MAKABIDHIANO
Shambani
.NI SAA 8 ALASIRI KIJIJINI NANGOO WAZEE KWA VIJANA WAKIWA WAMEJIKUSANYA WASIJUE JUKUMU LA UZALISHAJI MALI NI JUU YAO BADALA YAKE WANAANGUKIA KWENYE MCHEZO WA BAO..JE TANZANIA INAWEZEKANA KUFIKIA NMAENDELEO YALIYOKUSUDIWA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: