BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UZINDUZI WA BODI PSPF

Waziri wa Fedha Mhe. Dr. William Mgimwa katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, Menejimenti ya PSPF, SSRA na Wawakilishi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini. Kutoka kushoto waliokaa ni Adam H. Mayingu (Kaimu Mkurugenzi Mkuu-PSPF), Ally A. Kiwenge (Mjumbe), Irene Isaka (Mkurugenzi Mkuu -SSRA), Lila Mkilla (Mjumbe), George Yambesi (Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini), Clement Mswanyama (Mjumbe) na Elipina Mlaki (Mjumbe)
Waziri wa Fedha Mhe. Dr. William Mgimwa (kushoto) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) iliyoteuliwa rasmi tarehe 01 Agosti 2012 kwa kipindi cha miaka mitatu (3). Kushoto kwa Mhe. Waziri ni Irene Isaka (SSRA) na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini: Elipina Mlaki, Clement Mswanyama, Ally A. Kiwenge na Lila Mkilla
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: