BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NGUDU


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mradi ya Ufugaji nyuki katika kijiji cha Nkalalo wilayani kwimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 14, 2012. Nyuma yake ni mkewe Tunu na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Suleiman Mzee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wasanii wa Kikundi cha Ng’wanadelema cha Ngudu wilayni Kwimba wakicheza ngoma ya Wayeye wakai Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasalimia wnanchi katika kijiji cha Nkalalo wilayani Kwimba akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza Septemba 14, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunuwakiwa wamevikwa mavazi ya kiongozi wa jadi wa Sungusungu katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa mpira wa miguu wa Ngudu Septemba 14, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa miguu wa Ngudu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 14,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: