BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHAMA CHA SIASA CHA SAU CHAMTAKA JOHN TENDWA KUITISHA MKUTANO KATI YA VYAMA NA VYOMBO VYA USALAMA

Mwenyekiti wa chama cha siasa sauti ya umma Taifa (SAU) Paulo Kyara (katitikati) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam leo, kumtaka msajili wa vyama vya siasa John Tendwa kuchukua hatua za haraka sana aitishe kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na vyombo vya usalama ili kutoa taarifa zinazoelezea uhuru wa vyama vya siasa wa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano,
Pia chama hicho kimetoa pole kwa waandishi wa habari wote waliopatwa na msiba wa aliekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten marehemu Daudi Mwangosi na kwa familia ya Mwangosi,(kulila) katibu mwenezi wa chama hicho Bw.Shabani Kirita na kushoto katibu mwenezi wa chama hicho ambae ni ndungu wa maremu Daudi Mwangosi Bw. John Mwangosi
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo leo uliofanyika jijini Dar es salaam.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: