Mchezaji wa Idara ya Uhamiasi, Boniface Kimisha akimaliza na kushika nafasi ya kwanza katika mbio za kupokezana vijiti ya mita 400 wakati wa mashindano ya riadha yanayoandaliwa na SHIMIWI 2012 hatua ya robo fainali ya mchezo huo katika uwanja wa Jamhuri Morogoro.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment