Mtu mzima Rick Ross “The Boss”
kutoka nchini Marekani akipagawisha mashabiki katika Tamasha la
Serengeti Fiesta 2012 lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni
jijini Dar salaam hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa msanii huyu kufanya onesho nchini Tanzania
Rick Ross hapa akiwaelekeza jambo mashabiki hawapo pichani wakati alipokuwa akiimba jukwaanijana usiku.
Watu
wa usalama wakijaribu kudhibiti rapsha zilizokuwa zikijitokeza
kutokana na mashabiki wengi kuwa na hamu ya kumuona mwanamuziki Rick
Ross
Mkurugenzi
wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL Bw Ephraim Mafuru
akitangaza mshindi wa bahati nasibu ya magari mawili kwa mkoa wa Dar es
salaam iliyoendeshwa katika matamasha yote ya Serengeti Fiesta mwaka huu
kutoka kulia ni Bw. Mrisho kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha ,
Rugambo Rodney Meneja masoko wa Push Mobile na kushoto ni Mkurugenzi wa
Clouds Entarteinment Bw Joseph Kusaga wakishuhudia tukio hilo
Rachel Mwanamuziki wa
Bongofleva kutoka kundi la THT akicheza na mmoja wa wacheza shoo wake
katika Tamasha la Serengeti Fiesta linalofanyika usiku kuu kwenye
viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam ambapo pamoja na wasanii
mbalimbali wakali wa nyumbani, mwanamuziki maarufu wa Hiphop kutoka
nchini Marekani Rick Ross “The Boss” atahitimisha tamasha hilo kwa shoo
kali usiku huu.
KWA HISANI YA http://josephatlukaza.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment