Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) , Khamis Sadifa Juma.
Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni akimpongeza, Khamis Sadifa Juma baada ya kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa
Vijana wa CCM UVCCM, mjini Dodoma baada ya kumalizika kwa kazi ya kuhesabu kura.
Mjumbewa
Kamati Kuu ya CCM, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed
Shein, (Kulia), akishuhudia wakati Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), aliyemaliza muda wake, Benno
Malisa, (Wapili kushoto), akimpongeza mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo
aliyechaguliwa kwenye mkutano mkuu uliofanyika jana Jumanne mjini
Dodoma, Khamis Sadifa Juma.

0 comments:
Post a Comment