KLABU YA YANGA IMEWEZA KUIBUKA NA USHINDI WA BAO 3-1 DHIDI YA TOTO AFRIKA KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA KATIKA UWANJA WA NYUMBA IKIWA NI MCHEZO WAKE WA TATU WA UGENI AMBAO MTIBWA SUGAR ILIITANDIKA BAO 3-0 HUKU KAGERA SUGAR NAO WAKIILAZA KWA BAO 1-0 KAITABA KABLA YA KUIBUKA NA USHINDA WA BAO 3-1 DHIDI YA TOTO AFRIKA LEO
YANGA ILIANZA KUPATA BAO KUONGOZA KUPITIA KWA MSHAMBULIAJI,DIDIER KAVUMBAGU WAKATI BAO LA PILI KIPACHIKWA NA MLINZI MBUYU TWITE NA JERRYSON TEGETE AKAFUNGA BAO LA TATU WAKATI BAO LA TOTO AFRIKA LILIFUNGWA NA SAIDI MUSSA NA KUFANYA MCHEZO HUO UMALIZIKE KWA YANGA KUPATA USHINDI HUO.
0 comments:
Post a Comment