BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA YAPAA YAIENGUA SIMBA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

KIKOSI CHA VIJANA WA JANGWANI (YANGA SPORT CLUB) KINACHOONGOZA LIGI KWA SASA BAADA YA KUITANDIKA JKT MGAMBO BAO 3-0 KWENYE UWANJA WA TAIFA KATIKA MFULULIZO WA MICHEZO YA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2012/2013 NA KUIENGUA SIMBA WALIOKUWA WAKIONGOZA LIGI HIYO KWA MUDA MREFU BAADA YA KULAZIMISA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA POLISI MORO SC KATIKA MCHEZO ULIOFANYIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: