Meneja Msaidizi Abood Media ambaye ni mhitimu wa shahada ya Sanaa na Mawasiliano ya Umaa, Abeid Ramadhan Dogoli akiwa mwenye furaha baada ya kutunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya tano ya chuo kikuu cha waislam Morogoro iliyofanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo mkoani Morogoro.
Mkuu wa chuo kikuu cha Waislama Morogoro Hajjat Mwantumu Malale kushoto akijadiliana jambo na mhitimu wa kozi ya shahada ya Sanaa na Mawasiliano ya Umaa Abeid Ramadhan Dogoli wakati wa mahafali hayo.
Abeid Dogoli akivaa kofia ikiwa ishara ya kutunukiwa shahada hiyo sambamba na wenzake.
Abeid Dogoli kushotoMohamed Mohamed (katikati) na Hamis Mwesiwakipitia matukio katika kitabu kilichokuwa kikiongoza sherehe hiyo katika tukio hilo.
Akinana nao hawakuwa nyumba katika mahafali hayo nao wakifutilia.
Meneja Blog JumaMtanda, Juma Mtanda kushoto akiwa na Abeid Dogoli kulia mara baada ya mdau Dogoli kuhitimu kozi ya shahada ya Sanaa na Mawasiliano ya Umaa ambapo tukio hilo lilikuwa sehemu ya kumpongeza kwa kupata elimu hiyo.
Mkuu wa chuo kikuu cha Waislama Morogoro Hajjat Mwantumu Malale kulia akifanyiwa mahojiano na mmoja wa watangazaji wa Redio na TV Iman mara baada ya kumalizika kwa mahafali hayo.

0 comments:
Post a Comment