BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PICHA YA WIKI KUTOKA NCHINI SIERRA LEONE.

UZALISHAJI WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU UNAANZIA HAPA.
 Hali ya usafi nchini Sierra Leone ni duni kutokana na mazingia ya wananchi wake kushindwa kuzingia usafi huku ikilipotiwa kuwa vyoo vichache ambavyo ni safi, kuna baadhi ya wananchi walio wengi huenda haja kubwa hadharani hasa kando ya mto ambao unapitia katika mtaa wa Kroo Bay  huku vijana wakicheza na nguruwe wakiwa kando ya mto wakila uchafu katika lundo la taka ngumu ambapo hali hiyo huchangia milupuko ya magonjwa ya kipindupindu.
Hali ya usafi hapa ni duni saHali ya usafi hapa ni duni sana kukiwa tu na vyoo vichache safi. Watu wengi huenda haja kubwa hadharani hasa kando ya mto ambao unapitia katika mtaa huu wa Kroo Bay. na kukiwa tu na vyoo vichache safi. Watu wengi huenda haja kubwa hadharani hasa kando ya mto ambao unapitia katika mtaa huu wa Kroo Bay.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: