KIKAO KINAFANYIKA MISRI.


Mjini Cairo juhudi za kutafuta makubaliano ya kusitisha mapigano baina ya Israel na Wapalestina wa Gaza zimezidishwa.
Ujumbe wa Israel umewasili Cairo na kwenda moja kwa moja kwenye mazungumzo na wakuu wa Misri.
Jumamosi Misri ilifanya mazungumzo na wakuu wa Hamas, waziri mkuu wa Uturuki na mfalme wa Qata.

0 comments:
Post a Comment