BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS FRANCOIS BOZIZE AMFUNGA MWANAYE JELA.

Rais Bozize
RAIS wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Francois Bozize, anaripotiwa kuchukua hatua isiyo ya kawaida ya kuamrisha mwanawe mwenyewe wa kiume afungwe, kwa sababu hakulipa bili kubwa ya hoteli.


Afisa wa polisi alisema mtoto huyo wa Rais Bozize, Kevin, anadaiwa zaidi ya dola 13,000 baada ya kukaa kwa siku kadha kwenye hoteli ya fahari katika mji mkuu, Bangui.

Kevin Bozize ni kepteni kwenye jeshi la nchi hiyo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: