BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAKAMANDA WAPEWA KAMISHENI CMC JIJINI ARUSHA.



Maofisa wakuu 42 wenye vyeo vya Meja hadi Kanali wa nchi za ukanda wa Afrika Aashariki EAC na nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC wakiwa katika picha ya pamoja na waziri wa ulinzi pamoja na viongozi mbalimbali wa jeshi baada ya kuhitimu mafunzo ya unadhimu katika chuo cha ukamanda na unadhimu CSC JIJI Arusha.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: