Sehemu ya barabara
iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la
barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki
Yusuph Mwenda akienda kutoa hotuba yake.
Meya wa Kinondoni Mstahiki
Yusuph Mwenda aongea.
Sehemu ya uzinduzi
rasmi.
Rais Mwai kibaki
akimshukuru Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kwa kumkabidhi zawadi ya
kasha la Zanzibar.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya
akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la
barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Hongera Mzee Kibaki anasema Rais Kikwete
source matukio
michuzi

0 comments:
Post a Comment