BREAKING NEWS : TRAFIKI AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA mtanda blog 3:14 PM Edit Trafiki Elikiza baada ya kugongwa na gari eneo la Bamaga muda huu Trafiki wa kike aliyejulikana kwa jina moja la Elikiza aliyekuwa akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar, akifunikwa na wasamaria wema baada ya kugongwa na gari na inadhaniwa kuwa amekufa papo hapo. SOURCE GLOBAL PUBLISHER Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment