BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWZ;MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ABSALOM KIBANDA AVAMIWA,AJERUHIWA VIBAYA KICHWANI



 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjPHm9m0u3ex3d5TK5JnSnrhcbDstNuGueh7CjdxSFVH0M8fgNB3ZslM2JxbJXW0Q9KtpKIdruXq0dA638w2ROE0GcDqkI7IlxszEYlKfV7idxxkoExIQS33ta_TXx6Hcq93BJldHWR1_Y/s1600/MWENYEKITI+wa+Jukwaa+la+Wahariri%252C+Absalom+Kibanda.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbjSJMOGsLiJkY9NXGKAJfmUx8Y5kRU92ZweOV0ahWbQBSbnzrl5-Kb1kQivml8RrV3vraKqjhlIWrYTpehn2_8mYnW-NxDBHpwL9a7usOZ-QTpS5x-SzkOsMxKNx4gzu15Pi8nuiFbII9/s1600/image.jpegMWENYEKITI wa Jukwaa la wahariri,na Mhariri Mkuu wa Mtendaji wa New Habari Coperations Ltd, Ndugu Absalom Kibanda, amevamiwa usiku  wa kuamikia leo akiwa anashuka nyumbani kwake Mbezi Beach na watu wasiofahamika na kumpiga kichwani.

Amepata majeraha Makubwa kichwani na hasa jichoni,aidha taarifa inaeleza kuwa baada tukio hilo Kibanda alikimbizwa hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu.



Wadau hii ni taarifa ya kushtua sana,lakini tutazidi kutaarifiana kadiri ya habari zitakavyokuwa zinapatikana,kikubwa tumwombee Mungu amponye haraka mpiganaji mwenzetu.
Chanzo http://issamichuzi.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: