MOTO WATEKETEZA GHARA LA KUHIFADHIA BIDHAA UBUNGO LEO mtanda blog 8:27 AM Edit Wafanyakazi wa Zima Moto wakijitahidi kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika ghara la kuhifadhia bidhaa eneo la Shekilango Ubungo Dar es Salaam, leo mchana. Picha na Amani Tanzania Magari ya vikosi vya zimamoto yakimwaga maji ili kuzima moto huo. Vifaa vilivyookolewa kutoka ndani ya ghara hilo. Jitihada za kuzima moto huo zikiendelea....... Moto huo ukizidi kusambaa... Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment