Rapa Lil Wayne baada ya afya yake kuonekana kuimarika siku hadi siku
hatimaye ametoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU)na kuhamia
katika chumba cha kawaida katika hospitali Cedars Sinai iliyopo jijini
Los AngelesAlikaa katika chumba hicho takribani siku 6 akiwa yupo chini ya uangalizi makini, alifikishwa hospitali hapo siku ya jumatano ya wiki iliyopita.

0 comments:
Post a Comment