Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfred Lwakatale
akiwasalimia wafuasi wa chama hicho kwa ishara ya vidole viwili baada ya
kuwasili katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Picha zote
na Jackson Odoyo.
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatale akiwa chini ya ulinzi mkali wa Askari Polisi baada ya kutinga katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu.
0 comments:
Post a Comment