Hussein Bashe akimjulia hali.
Waziri Hussein Mwinyi akimjulia hali
Regnad Mengi akiteta jambo na kamanda Kova baada ya kumjulia hali
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya
Magazeti ya Habari Corporation, Absalom Kibanda, usiku wa kuamkia leo
amevamiwa na watu wasiojulikana wakati akivuka geti kuingia nyumbani
kwake na gari yake aina ya Nissan.
Wavamizi hao walivunja kioo cha gari lake na kumchomoa ambapo walimpiga
mapanga na kumjeruhi vibaya jicho la kushoto. Baada ya kufanyiwa unyama
huo Kibanda alikimbizwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya
kupatiwa matibabu ambapo amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi
‘ICU’
chanzo:globalpublishers.info
0 comments:
Post a Comment