MWANAMKE PENDO ROCK KULIA NA CLAUD LEONARD WAKIJENGA MTARO KWA KUTUMIA MAWE KATIKA UJENZI UNAOENDELEA KANDO YA BARABARA YA KOROGWE ENEO LA MSAMVU SHULENI ILI KULINDA BARABARA HIYO NA MMONYOKO WA ARDHI UNAOTOKANA NA MVUA, KAZI KAZI MARA NYINGI HUFANYWA NA WANAUME.
PICHA, JUMAMTANDA.BLOG
0 comments:
Post a Comment