Taarifa zilizotufikia hivi punde katika mtandao wa jamii wa www.jumamtanda.blogspot.com zimeeleza kuwa jeshi hilo tayari imekamata mtambo wa kutengenezea gongo na mapipa kadhaa yaliyohifadhiwa kinywaji hicho kinachofafana na konyagi.
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, John Laswai akizungumzia tukio hilo alisema kuwa jeshi la polisi lipom katika operesheni ya kut
eketeza mitambo ya kinywaji hicho maramu na kuwa itatolea maelezo kwa waandishi wa habari Mei 23 baada ya kukamilika kwa zoezi hilo kwa wilaya zote zinazounda mkoa wa Morogoro.
Kwa habari zaidi endelea kutembelea www.jumamtanda.blogspot.com ili kuweza kupata taarifa zaidi ya operesheni hiyo............
0 comments:
Post a Comment