NI usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo
wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle
ya kuspray perfume k
wa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray
perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on
stage.....
Hemed alikosea kwa kudhani kuwa mwanadada naye
anataka apigwe unyunyu...Alimfuata na "tomasa toma
style" alafu akamtandika unyunyu na hiyo
ikawa ndiyo mistake kwa mkali huyo wa music na bongo movie... kumbe bi dada
alimaindi...!!!
Alisubiri mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on
stage , then akamfuata backstage na kutaka kumnasa
makofi huku akitema cheche.
Tazama video hapo chini jinsi mwanadada
alivyokuwa akimkoromea PHD.
0 comments:
Post a Comment