Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan (katikati).
MAJIMBO ya Borno, Yobe na Adamawa kaskazini mashariki mwa Nigeria yamo chini ya ulinzi mkali.
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ametangaza hali ya dharura katika
majimbo matatu ya kaskazini mashariki kufuatia wimbi kubwa la ghasia
linalohusiana na wanamgambo wa kiislamu.
Katika hotuba yake kwenye televisheni ya taifa Jumanne,bwana Jonathan alisema anapeleka vikosi zaidi kwenye majimbo ya Borno, Yobe, na Adamawa kwa kile alicho
kiita operesheni za ndani za usalama.Katika hotuba yake kwenye televisheni ya taifa Jumanne,bwana Jonathan alisema anapeleka vikosi zaidi kwenye majimbo ya Borno, Yobe, na Adamawa kwa kile alicho
Kiongozi huyo wa Nigeria amesema majeshi yameamriwa kuchukua hatua zote muhimu kuzuia uasi na ugaidi na kuwa na mamlaka ya kukamata na kuchukua udhibiti wa jengo linalotumika kwa malengo ya kigaidi.
Rais Jonathan
alikatisha ziara yake ya kusini mwa Afrika wiki iliyopita ili
kushughulikia ghasia zinazoendeela nchini mwake.
0 comments:
Post a Comment