Joseph Mbilinyi aka "Sugu"
Joseph Haule aka Proffessor Jay"
Lady Jay Dee mwenyewe
K na D wa Maujanja Saplayaz (Kulwa na Dotto)
WAKATI wapenzi wa muziki wa kizazi kipya nchini wakisubiri kwa hamu kubwa show kali ya Mwanadada Judith Wambura "Lady Jay Dee"
ya kuadhimisha kutimiza miaka 13 katika game ya Muziki huo na kutokana
na hali ambayo imeendelea kwa baadhi yawasanii mbalimbali waliokuwa
wametajwa kushirikiana naye katika show hiyo kujiengua na kutoa sababu
kadhaa za kutoshiriki katika Show hiyo (TID, Linah, Barnaba na Matonya).
Wapenzi mbalimbali
wa Muziki huo ndani na nje ya nchi wamesikika kutoka katika sehemu
mbalimbali haswa katika mitandao ya kijamii (Facebook na Tweeter).
Wakishauri Msanii huyo kuachana na wasanii hao "njaa kali wenye tamaa za
muda mfupi" na kuangalia wasanii wengine wenye kutambua wajibu na
kuthamini haki zao na wasanii wenzao badala ya kuishia kutumika kwa
maslahi ya watu wachache ambao nyuma na hata mbele ya pazia ni hao hao
ambao wamekuwa wakiwakandamiza na kuwanyonya wasanii nchini.
Aidha kwa
kutokujua na wengine kukujua lakini kwa kule kuendekeza/kutanguliza njaa
mbele.






0 comments:
Post a Comment