HABARI iliyosambaa hivi sasa kupitia mitandao
ya jamii nchini Kenya na kuwashangaza wakenya wengi ni kuhusu mwanaume mmoja
raia wa kigeni na wasichana 11 waliokamatwa Mombasa kwa tuhuma za kusho
ot video
ya ngono na mbwa.
Kwa mujibu wa Baraza la Maimamu na Wahubiri wa
Kenya (CIPK) tukio hilo ni la aibu kwa jamii na inahitaji kukemewa. viongozi
hao wametoa wito kwa polisi kufanya uchunguzi kamili na kuhakikisha kuwa pande
zote zinazohusika zinafikishwa mbele ya sheria bila woga au upendeleo.
Viongozi
hao wamebainisha kuwa baadhi ya matukio yanachangiwa na ukosefu wa msimamo
kutoka kwa viongozi wa serikali na viongozi wa juu, juu ya masuala hayo.
Hii sasa imefikia hatua ya kusumbua sana, kama binti
zetu wanaweza kwenda nje na kulala na mbwa, na ni polisi pekee ndio wanaweza
kusimamisha uovu huu,w kwa sababu hata baadhi ya viongozi wetu wa sasa na wa
zamani katika serikali kamwe ameshindwa kujitoa na kuonyesha msimamo wao juu ya
masuala hayo 'alisema Sheikh Khalifa Mohammed CIPK.
Sheikh
Khalifa amebaini kwamba kuna club nyingi za wacheza uchi {stripper} na madanguro
hasa Mombasa na Kilifi ambapo wasichana wenye umri mdogo kuwaburudisha wateja
wao huku wakiwa uchi na kuwataka viongozi wa serikali na serikali kwa jumla
kuzifunga sehemu hizo.
haya ndio majina ya watuhumiwa wa kosa
hilo. Janeth Amollo, Christopher Clement Weissenrieder, Mercy Waithera
Karanja, Beatrice Mueni Mwosa, Mary Nyambura Kimani, Magdaline Wairimu Chege,
Celestine Nekesa Sitati, Dorcus Melisah Indakwa, Lydia Nyaboke Momanyi,
Beatrice Mueni Mwosa, Phidelia Mawia Sollomon, Anne Wanjiku Gichuki na Cecilia
Nzambi Katuku.
0 comments:
Post a Comment