Mwanamuziki Saida Karoli amefariki baada ya kuzama kwenye maji kufuatia boti aliyokuwa akisafiri nayo toka Kisiwa cha Goziba kuzama baada ya kukumbwa na dhoruba na kuzama Ziwa Victoria.
Inaalifiwa pamoja naye kuna watu wengine wamefariki dunia.
KWA masikitiko blog hii inawapa pole watanzania na wapenzi wote wa muziki wa asili na wapenzi wa musiki wa saida karoli .
mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Saida Karoli.
Chanzo MJWENGWA BLOG
0 comments:
Post a Comment