BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NI TASWIRA YA VURUGU ZA ARUSHA BAADA YA POLISI KUWATAWANYA WANANCHI ENEO LA SOWETO HALI ILIKUWA HIVI.

ASKARI WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI.VIZUIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VUR
UGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.
 VIZIWIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VURUGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.MOTO UKIWA UNAWAKA KATIKATI YA BARABARA WAKATI WA VURUGU HIZOWASAMALIA WEMA WAKIMSAIDIA MTOTO BAADA YA KUTOKA VURUGU HUKU NYUMA YAO KUKIWA NA KUNDI KUBWA LA ASKARI.Sehemu ya umati wa waombolezaji wa wahanga wa mlipuko wa bomu wakiwa katika viwanja vya Soweto mjini Arusha wakiwa kwenye maombolezo muda mfupi kabla ya polisi kuwatawanya na kuwapiga mabomu ambapo inadaiwa kuwa watu wawili wamepoteza maisha na majeruhi wasiojulikana huku wabunge wawili wakidaiwa kushikiliwa na jeshi la polisi akiwemo Mh Tindu Lissu na Mh Mustapha Akoonay kutokana na vurugu hizo.
MHE TUNDU LISSU HII NI PICHA YA MAKTAABA .

HABARI HII IMEANDALIWA NA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM KUTOKANA NA VYANZO MBALIMBALI VYA HABRI KUTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII BADA YA KUTOKEA KWA TUKIO HILO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: