BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DK SLAA AHUTUBIA WANANFUNZI WA CHADEMA WA VYUO VIKUU HOTELI YA NEW SAVOY MOROGORO

Katibu mkuu wa Chadema Dk Slaa akizungumza na wanafunzi wachama cha Chadema kupitia shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Morogoro (CHASO) katika hoteli ya New Savoy ambapo baada ya hapo Dk Slaa alihut
ubia mamia ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Sabasaba mkoani hapa. Kutoka kushoto ni Kaimu Katibu wa Chadema mkoa wa Morogoro Boniface Ngonyani na katikati ni Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kamanda John Heche. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Sehemu ya wanafunzi wa shirikisho hilo kutoka vyuo vikuu vya mkoa wa Morogoro wakimsikiliza Katibu Mkuu Chadema DK Slaa.
Hawa ni viongozi wa shirikisho la wachama cha Chadema kupitia shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Morogoro (CHASO)
 Hawa nao ni miongoni mwa wanafunzi ambao walitunukiwa vyeti na Dk Slaa.
Manafunzi wa chuo kikuu cha waislam Morogoro, Mudhakiru Dauda akiuliza swali kwa Dk Slaa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: