JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LINAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MBUNGE MOSES MACHALI mtanda blog 3:31 PM Edit Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikiria watu wawili kwa tuhuma za kumpiga mbunge Moses Machalli. Machalli amelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma General na anaendelea vizuri. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment