BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBUNGE WA KASULU MJINI AKIWA HOSPITALI MARA BAADA YA KUVAMIWA NA VIJANA DODOMA NA KUUMIZWA

Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa kwenye wodi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na vibaka jana usiku eneo la Area E mjini humo na kumjeruhi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: