![]() |
| Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa wodini. |
![]() |
Akisiendelea kupata nafuu baada kushambuliwa.
|
![]() |
![]() |
Kamanda
wa Polisi mkoani Dodoma,David Misime akizungumza na waandishi wa habari
mjini humo jana kuhusu tukio la Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR) Moses
Machali kuvamiwa na vibaka eneo la Area E juzi usiku.
|






0 comments:
Post a Comment