BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIVI NDIVYO VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA WALIVYOJIPELEKA KITUO CHA POLISI ARUSHA JANA.

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akitoka Polisi baada ya kuhojiwa jana, wa pili kulia ni Mbunge wa Musoma mjini-Chadema Vicent Nyerere.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiongozana na Mbunge wa Arusha mjini-Chadema, Godbless Lema(wa kwanza kushoto) wakitoka Polisi baada ya kuhojiwa jana katikati ni mbunge wa musoma mjini-Chadema Vicent Nyerere.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: