BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTOTO ALIYEJERUHIWA MLIPUKO WA BOMU WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA KAMPENI ZA UDIWANI ARUSHA AFARIKI DUNIA.

Thumbnail for 958Mtoto Fahad Jamal alipotembelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi kwenye chumba cha ICU siku chache zilizopita.Mtoto Fahad Jamal (7) ambaye hali yake ilikuwa mbaya na kulazwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Selian kufuatia kujeruhiwa na bomu katika mkutano wa Chadema Arusha Amefariki dunia hivi karibuni.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: