WAZIRI Mkuu
Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na
kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali
inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo.Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wak
ati ya kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni.
KUPATA HII VIDEO BOFYA KATIKATI YA PICHA ILI KUWEZA KUONA.

0 comments:
Post a Comment